1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali si shwari ndani ya chama cha AfD

Lilian Mtono
26 Septemba 2017

Mwenyekiti mwenza wa chama mbadala cha Ujerumani, AfD Petry Frauke aachana na chama hicho, Upinzani Togo waitisha mgomo wa nchi nzima siku ya ijumaa kuipinga serikali na Myanmar yalaumiwa kwa watetezi wa haki za binaadamu kwa mauaji ya Warohingya. Papo kwa Papo: 26.09.2017.

https://p.dw.com/p/2kke1