1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya usalama baada ya mashambulizi dhidi ya Rais mpya wa Somalia

13 Septemba 2012

Mashambulizi ya jana (12.09.2012) kwenye hoteli alimokuwemo rais Sheikh Mohmud Hassan wa Somalia, yamezusha maswali juu ya matumaini ya mustakbali wa nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/1680M
Mashambulizi mjini Mogadishu
Mashambulizi mjini MogadishuPicha: Reuters

Nini sababu ya mashambulizi hayo kwenye mchakato mzima wa amani nchini Somalia? Muda mfupi uliopita Daniel Gakuba amezungumza na Prof Tom Namwamba, mchambuzi wa masuala ya Somalia aliyeko mjini Nairobi, na alianza kwa kutoa maoni yake kuhusu usalama nchini Somalia.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Daniel Gakuba

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman