Hali ya usalama mjini Mombasa na Nairobi
5 Mei 2014Matangazo
Kufuatia mashambulizi hayo Chama kikuu cha upinzani nchini humo Orange Democratic Movement ODM kimetoa taarifa kuitaka serikali iondoe wanajeshi wake nchini Somalia kama hatua ya kuzuia mashambulizi zaidi ya kulipiza kisasi kutoka kwa kundi la Al-Shabaab. Mwandishi wetu Alfred Kiti na taarifa zaidi. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Alfred Kiti
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman