1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Harakati za kutafuta amani Mashariki mwa Kongo zaendelea

25 Oktoba 2012

Nchi wanachama wa jumuia ya kimataifa kwa ajili ya Kanda ya Maziwa Makuu, bado zinaendelea na harakati za kutafuta amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/16W7P
Mapigano mashariki mwa Kongo
Mapigano mashariki mwa KongoPicha: Reuters

Wakuu wa majeshi ya nchi hiyo wanakutana Goma, kupokea ripoti iliyochapishwa na jopo la maofisa wa ujasusi wa nchi za kanda hiyo. Hata hivyo, kikao cha wakuu wa majeshi kinaongozwa na mkuu wa jeshi la Uganda, Jenerali Alonda Nakairima, licha ya ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa, kuwa Uganda nayo inawafadhili waasi wa M23 mashariki mwa Kongo. John Kanyunyu na taarifa kamili kutoka Goma:

(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi