1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatari inayowakabili watoa huduma za dharura za matibabu Afrika Kusini

12 Januari 2022

Matukio ya waendesha magari ya wagonjwa nchini Afrika Kusini kuwa katika hatari ya kuvamiwa kila kukicha yanaongezeka na huwalazimu kutafuta ulinzi wa polisi. Vijana Mubashara 77Asilimia inaongozana na watoa huduma wa afya wawili katika maeneo hatari ya Cape Town kuangazia tatizo hilo. #VijanaMubashara #77Asilimia

https://p.dw.com/p/45QXf