1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hatimaye Trump akutana ana kwa ana na Kim

Sylvia Mwehozi
12 Juni 2018

Mkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un umemalizika nchini Singapore. Viongozi hao wametia saini nyaraka ya pamoja ya makubaliano kuhusu mambo kadhaa. Papo kwa Papo 12.06.2018.

https://p.dw.com/p/2zLMD