1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hebu tuzungumzie tofauti kati ya kizinda na bikra

Lilian Mtono
18 Novemba 2021

Nina hakika kwamba bado kuna wengi wanaoshindwa kutofautisha kati ya kizinda na bikra kwa wanawake. Hali hii huwagharimu wanawake wengi na hasa inapofikia hatua ya kuolewa. Wengine hutumia njia mbalimbali kukirudisha kuanzia za jadi hadi za kisaa zinazogharimu fedha nyingi tu. Tuna mtaalamu hapa anayetuambia kwa kina kuhusu kizinda.

https://p.dw.com/p/438zW