1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hekaya za Bi Khadija: Kijakazi msi fadhila

Khadija Ali19 Januari 2016

Mwanamwema na Fadhili waliyaishi maisha yao kwa ihsani na kuenziana hadi siku Kijakazi Sidi alipogonga mlango wa nyumba yao, maana alikuja na yake yaliyozidharau fadhila za Fadhili na kuusahau wema wa Mwanamwema.

https://p.dw.com/p/1Hg4h
Picha: picture-alliance/AP Photo/A.Young-joon

Kusikiliza simulizi hii ya Khadija Ali juu ya ihsani iliyochezewa pata-potea na mja mkosa shukurani, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.