1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hifadhi wanyama na mimea Afrika ya Kati

28 Mei 2007

Mawaziri na wataalam wa mazingira kutoka nchi saba za Afrika ya kati wamekutana mjini kinshasa kwa ajili ya kutathmini mpango wa pamoja wa hifadhi ya mbuga za wanyama na kuwa na aina mbali mabli za wanyama na mimea katika nchi zao.

https://p.dw.com/p/CHkl
Msitu wa Kongo
Msitu wa KongoPicha: dpa
Umoja wa ulaya umeahidi msaada wa dola milioni nne kwa mpango huo, kama anavyoripoti mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo. Sikiliza ripoti yake.