1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hillary Clinton ndiye mgombea urais wa Democrats

27 Julai 2016

Hillary Clinton ateuliwa rasmi kuwa mgombea urais wa chama cha Democrats Marekani, Viongozi wa dini Ufaransa watoa wito wa amani na mshikamano baada ya mauaji ya Kasisi Kanisani, Umoja wa Mataifa wamuonya Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir baada ya kumteua Makamu mpya wa Rais.

https://p.dw.com/p/1JWdq