1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya madawa kuwaangamiza vijana Afrika Kusini

10 Aprili 2018

Katika eneo la Beacon Valley, Afrika Kusini ukosefu wa ajira, uhalifu na matumizi ya madawa ya kulevya ni mambo yaliyokita mizizi. Kwa watoto wanaoishi eneo hili kuamka na kwenda shule asubuhi ni changamoto. Kundi moja la kina mama linajaribu kubadilisha taswira.

https://p.dw.com/p/2vo9J