1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Homa ya uchaguzi nchini Kenya

19 Oktoba 2007

Duru za kisiasa mjini Nairobi zinasema kuwa huenda uchaguzi ukafanyika tarehe 27 mwezi Desemba mwaka huu. Tume ya uchaguzi nchini Kenya imekubaliana na tarehe hiyo ya uchaguzi hata ingawa Rais Mwai Kibaki bado hajalivunja bunge.

https://p.dw.com/p/C7gu
Rais Mwai Kibaki wa Kenya.
Rais Mwai Kibaki wa Kenya.Picha: AP Photo
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo ana taarifa kamili kutoka Nairobi.