1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibada maalum ya Nelson Mandela yafanyika Afrika Kusini

10 Desemba 2013

Idadi kubwa ya wageni wakiwemo viongozi zaidi ya tisini kutoka mataifa mbalimbali wameendelea kuwasili katika uwanja wa Soweto nchini Afrika Kusini kuhudhuria ibada ya Nelson Mandela.

https://p.dw.com/p/1AVzI
Malefu ya watu wahudhuria ibada maalum ya Hayati Nelson Mandela
Malefu ya watu wahudhuria ibada maalum ya Hayati Nelson MandelaPicha: Reuters

Ibada maalumu ya kumbukumbu ya Nelson Mandela inafanyika leo kabla ya mazishi yake hapo Desemba 15 kaika kijiji cha Qunu. Sudi Mnette amezungumza na Issac Khomo mwandishi habari akiwa mjini Johannesburg. Kusikiliza mazungumzo hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Mohamed Abdulrahman