1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ibada ya Hijja Makka yafikia kilele

26 Novemba 2009

<p>Mamilioni ya Waislamu leo wanafikia kilele cha ibada ya Hijja kwa mwaka huu, baada ya kumiminika katika mlima Arafat kukamilisha sehemu ya mwisho ya ya Hijja, nguzo ya tano ya dini ya Kiislamu.

https://p.dw.com/p/KhEz
A Muslim man prays as he sits on the holly Mountain Arafat, near to the holy stone during the Hajj at the Mountain Arafat, near Mecca, on Monday, Feb. 10, 2003. The Hajj pilgrimage peaks Monday with prayers at Mount Arafat, a gentle hill 12 miles southwest of Mecca. The time spent at Mount Arafat is believed to symbolize Judgment Day, when Islam says every person will stand before God and answer for his deeds.(AP Photo/Amel Emric)
Hujaji akiomba dua katika mlima wa ArafatPicha: AP
Kutoka  Arafat Mohamed Abdulrahman amezungumza na  B. Majid Hakizimana ambaye pamoja na kushiriki katika Hijja ,yeye pia  ni mwanafunzi huko Saudi Arabia na alikuwa na haya ya kuelezea juu ya kile kilichojiri hii leo.

Mahojiano: Mohamed /Alhaji Hakizimana

Mpitiaji : Aboubakary Liongo