ICC imefanikiwa nini baada ya miaka 20?

Sasa moja kwa moja
dakika (0)
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, International Criminal Court ICC, iliasisiwa Julai 17 mwaka 1998 na  baadae kuundwa rasmi 2002. Lengo likiwa ni  kuwafungulia mashitaka wale ambao wamehusika na  uhalifu mkubwa wa kisiasa, mauaji ya kimbari, uhalifu wa kivita na maovu dhidi ya binaadamu. Tunaitupia jicho mahakama hiyo, utendaji wake na ikiwa kweli ni chombo chenye umuhimu na kinachohitajika.

Zaidi katika Media Center

dakika (0)
Habari za Ulimwengu | 10.11.2017

10.11.2017 Matangazo ya Jioni

dakika (0)
Habari za Ulimwengu | 27.10.2017

27.10.2017 Matangazo ya Mchana

Tufuatilie