1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC yatakiwa kuimarisha mfumo wa uchaguzi

Iddi Ssessanga
20 Septemba 2017

Mahakama ya Juu nchini Kenya imeiamuru tume ya uchaguzi ya IEBC kuandaa mfumo wa ziada wa kuupa nguvu zaidi uliopo wakati uchaguzi mpya wa rais unasubiriwa. Majaji waliosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais wametoa ufafanuzi wa hukumu yao.

https://p.dw.com/p/2kOgK