1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IGP wa Msumbiji azungumzia machafuko ya Cabo Delgado

Sudi Mnette24 Agosti 2021

Katika Kinagaubaga, Sudi Mnete amezungumza na Mkuu wa jeshi la polisi wa Msumbiji IGP Bernadino Rafael kufahamu operesheni za kijeshi katika kupambana na waasi katika jimbo la Capo Delgado. Operesheni hizo zimepata nguvu baada ya Rwanda kupeleka wanajeshi wake kuungana na wanajeshi wengine wa SADC.

https://p.dw.com/p/3zQ1b