1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Daniel Gakuba
21 Juni 2017

Mamia ya maelfu ya watu nchini India wameadhimisha siku ya kimataifa ya Yoga, ambayo mwaka huu ni mara ya tatu kusherehekewa. Waziri mkuu wa India Narendra Modi aliongoza maadhimisho hayo, na kusema Yoga imbayo hapo awali ilikuwa kiunganishi cha mwili na roho, sasa imekuwa chombo cha kuiunganisha dunia.

https://p.dw.com/p/2f7bX