1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IRAN threatens to attack US targets.

Mtullya, Abdu Said12 Julai 2008

Iran yatishia kulipiza kisasi kwa kuiteketeza Israel ikiwa itashambuliwa.

https://p.dw.com/p/EbBU
Rais Mahmoud Ahmednejad wa Iran .Picha: AP

TEHERAN.

Afisa  wa ngazi za juu  wa Iran amesema nchi yake itaiteketeza Israel  na vituo  vya kijeshi 32  vya  Marekani  ikiwa itashambuliwa.

Msemaji  huyo ameeleza kuwa Marekani  inajua  vizuri  kwamba  Israel, pamoja  na  vituo  vya kijeshi  vya Marekani katika  mashariki  ya  kati vinaweza  kufikiwa na makombora ya Iran, ikiwa  Marekani itachukua hatua yoyote dhidi  yake.