1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Isaya Mwita awa meya mpya wa Dar es Salaam

Elizabeth Shoo22 Machi 2016

Chama cha upinzani Tanzania Chadema kimepata ushindi katika uchaguzi wa umeya wa Dar es salaam baada ya uchaguzi huo kuahirishwa kwa mara kadhaa. Hii ni mara ya kwanza kwa CCM kushindwa kutoa meya.

https://p.dw.com/p/1IHiS
Dar es Salaam, Tanzania
Picha: imago/Xinhua/Z. Ping

[No title]