1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ISLAMABAD:Musharraf atoa mwito juu ya kuleta maridhiano.

7 Oktoba 2007
https://p.dw.com/p/C7Ho

Rais Pervez Musharraf wa Pakistam ametoa mwito juu ya kuleta maridhiano nchini, baada ya kuidhinishwa na bunge ili asimame katika uchaguzi wa kugombea urais kwa kipindi cha pili.

Lakini mahakama kuu inatarajiwa kutoa uamuzi iwapo hatua ya bunge kumwidhinisha rais huyo ni sahihi kisheria.