1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Israel yaishutumu Iran kuhusu nyuklia

Grace Kabogo
1 Mei 2018

Israel imeishutumu Iran kwa kuzificha silaha za nyuklia kwenye eneo la siri, baada ya kugundua maelfu ya makabrasha yanayoonesha kuwa Iran imedanganya. Hata hivyo, Iran imezikanusha shutuma hizo ikisema ni propaganda.

https://p.dw.com/p/2wxXw