1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

JAHAZI Asilia yajitosa uchaguzi wa Rais Zanzibar

13 Oktoba 2010

Kawaida upinzani mkubwa visiwani Zanzibar, huwa ni kati ya vyama viwili vya CCM na CUF, lakini chama cha JAHAZI Asilia nacho kimeweka mgombea wa nafasi ya urais, kikitarajia kutoa upinzani mkali kwa wababe hao wawili

https://p.dw.com/p/PCdT
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Khamis Mwinyichande
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Khamis MwinyichandePicha: Mohammed Khelef

Katika mahojiano haya, mtangazaji wetu, Grace Kabogo, anaongea na mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha JAHAZI Asilia, Kassim Bakar, ambaye pamoja na mengine anazungumzia nafasi ya chama chake katika uchaguzi huo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Kassim Bakari

Mhariri: Miraji Othman