1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, demokrasia imeifelisha Tanzania?

Mohammed Khelef
24 Februari 2018

Wakati matukio ya mauaji, utekaji na utesaji yanayohusishwa moja kwa moja na siasa nchini Tanzania yakiendelea na taifa hilo kubwa kabisa la Afrika Mashariki likionekana kugawanyika kila baada ya uchaguzi mmoja kwenda mwengine, DW inaweka swali moja kubwa mezani hivi leo kwenye kipindi cha Maoni Mbele Meza ya Duara: "Je, demokrasia imeifelisha Tanzania?"

https://p.dw.com/p/2tGdN