1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je kansela ajaye wa Ujerumani ataweza kuleta mabadiliko Afrika?

27 Septemba 2021

Uhamiaji, usalama na Maendeleo- ni mada zinazogubika uhusiano wa Ujerumani na mataifa ya Afrika. Kansela Angela Merkel na serikali yake wamekuwa wakizungumzia uwekezaji na kubuni nafasi sawa za ushirikiano, lakini hali ya ukosefu wa usawa imesalia palepale. Je hali hii inaweza kubadilika chini ya kansela mpya wa Ujerumani?

https://p.dw.com/p/40vDl