1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, kazi uliyoiota maishani ndiyo uliyoipata?

24 Aprili 2012

Zama za kijana kuwa na ndoto ya kuwa na kazi fulani katika maisha yake na ikawa ndiyo hiyo, zinaonekana kupita kwa kasi katika dunia ya leo, ambapo msukumo wa soko la ajira unaimarika na kuwa na nguvu za kuamua.

https://p.dw.com/p/14k8p
Kijana wa Kiafrika kazini.
Kijana wa Kiafrika kazini.Picha: picture-alliance/dpa

Katika makala hii, Bruce Amani anazungumza na vijana kujuwa ikiwa kile hasa walichokuwa wakikitaka kiwe ndiyo kazi zao maishani, kimekuwa hivyo hasa, akihoji uhusiano uliopo baina ya matarajio ya vijana na matakwa ya soko la ajira.

Makala: Vijana Mchakamchaka
Mtayarishaji/Msimulizi: Bruce Amani
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman