1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, michezo ndiyo itakayowakomboa vijana wa Afrika?

21 Agosti 2019

Vijana wa Kiafrika wametengwa na serikali zao katika sekta tofauti na mwisho wa siku wanasalia kuumia katika umaskini. Katika vijana Mubashara leo hii, Jacob Safari anaangazia iwapo michezo inaweza kuwanusuru vijana hao.

https://p.dw.com/p/3OHb8