1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je ni kweli uhuru wa kujieleza Tanzania umebinywa?

18 Mei 2018

Askofu wa zamani wa kanisa la Anglikana nchini Tanzania Dkt. Valentino Mokiwa ameelezea kusikitishwa kwake na kile anachokiita kuwa kubinywa kwa uhuru wa kujieleza nchini mwake. Hebu tazama, umsikilize kisha nawe pia utoe maoni yako.

https://p.dw.com/p/2xwk4