1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni: Kufifia kwa upinzani Afrika Mashariki

Josephat Charo
17 Agosti 2018

Je, Kenya imekuwa nchi ambayo haina upinzani tena? Kwa nini nchini Uganda upinzani umeendelea kukabwa koo na hauna nafasi ya kupumua? Tanzania kunashuhudiwa viongozi wa upinzani wakichukua uamuzi wa kuhamia chama tawala CCM. Jiunge na Josephat Charo na Rashid Chilumba katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/33IxI