1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za kupata vazi la taifa Tanzania

Angela Mdungu
17 Septemba 2020

Kwa muda mrefu Tanzania bado haijawa na vazi lake linaloitambulisha kimataifa. Kutana na Ailinda Sawe maarufu Mama Afrikana Sana anayepigania kuhakikisha Tanzania inapata vazi lake.Video na Hawa Bihoga. Kurunzi 17.09.2020

https://p.dw.com/p/3icWB