1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sanaa

Just6 watumbuiza kwa "a capella"

Saumu Mwasimba
19 Julai 2018

Utamaduni na sanaa inapiga kambi hapahapa kwenye jengo la DW mjini Bonn ambapo wanamuziki wa kundi la capella liitwalo Just6 walikuja kuonyesha ujuzi wao, ikiwa ni kituo chao kingine katika safari iliyowaleta barani Ulaya kutokea nchini Afrika Kusini. Muziki wa a capella ni unapigwa bila ala za muziki bali wasanii hutumia nyenzo ya mdomo kuiga ala mbali mbali za muziki.

https://p.dw.com/p/31kBh