Kamishna wa Umoja wa Ulaya ziarani Kigali,Rwanda
11 Desemba 2008Matangazo
Kamishna wa Umoja huo Louis Michel ameyatangaza hayo baada ya mazungumzo ya faragha aliyofanya na Rais wa Rwanda Paul Kagame mjini Kigali, kabla ya kuondoka adhuhuri ya leo kuelekea mjini Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Kutoka Kigali Daniel Gakuba anataarifa kamili.