1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kampeni ya lishe bora Tanzania

Sylvia Mwehozi
6 Desemba 2019

Asilimia kubwa ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano wamekuwa wakikumbwa na magonjwa mbalimbali ambayo ni tishio kwa afya zao, hali ambayo inapelekea kuibua juhudi na mikakati mingi ili kuweza kunusuru afya za watato hao. Miongoni mwa magonjwa hayo ni malaria, nimonia, utapiamlo, kwashakoo, surua, degedege, na magonjwa mengineyo. Ni makala ya afya yako.

https://p.dw.com/p/3UJaA