1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kanisa Katoliki lasitisha maandamano DRC

19 Machi 2018

Maandamano hayo ya kumpinga Rais Joseph Kabila yamesimamishwa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuwapa nafasi wanasiasa kupata ufumbuzi wa tofauti zao. Waandaaji wanataka serikali iwaachie wafungwa wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/2uZf7
Waandamanaji Kinshasa
Picha: Reuters/K. Katombe

J2.19.03.2018 Catholic Church postponds demos - MP3-Stereo