1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ziarani Kenya

11 Julai 2011

Kansela Angela Merkel anawasili leo nchini Kenya kwa ziara rasmi ya siku moja, ambako atakutana na viongozi wa serikali.

https://p.dw.com/p/11svz
Kansela Angela MerkelPicha: AP

Kansela Merkel ambaye pia atazitembelea nchi nyingine barani Afrika anatarajiwa kuwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, saa nne usiku hii leo.

Kutoka Nairobi mwandishi wetu Alfred Kiti ametutumia taarifa zaidi.

Mwandishi Alfred Kiti

Mhariri Yusuf Saumu