1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kansela Merkel ataendelea na sera za serikali ya mseto

23 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/CSMF

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesisitiza kuwa anadhamiria kuendelea na serikali ya mseto pamoja na Naibu mpya wa Kansela,Frank-Walter Steinmeier.Katika mahojiano mbali mbali,Merkel amesema anataka kutekeleza matakwa ya wapiga kura.
Wakati huo huo,Kansela Merkel amesema,masuala yatakayopewa kipaumbele miaka miwili ijayo ni kupunguzwa kwa ukosefu wa ajira pamoja na kuimarisha utafiti na uangalizi wa watoto.