1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

"Karibuni" hapo zamani za kale

17 Januari 2013

Hebu sikiliza kipindi hiki cha "Karibuni" cha mwaka 1974 na onja ladha ya umahiri wa watangazaji wakongwe wa Idhaa ya Kiswahili kwenye miaka hiyo ya 1970, wakati huo ndio kwanza ikitimiza muongo mmoja tangu kuanzishwa.

https://p.dw.com/p/17Lvm
Timu ya Idhaa ya Kiswahili katika miaka ya 1970, Cologne.
Timu ya Idhaa ya Kiswahili katika miaka ya 1970, Cologne.Picha: Uli Ehlich