1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Karibuni: Mazishi ya Kizito Mihigo

Sudi Mnette
21 Februari 2020

Nchini Rwanda (22.02.2020) yanafanyika mazishi ya msanii na mwanaharakati maarufu nchini humo, Kizito Mihigo aliyefariki Jumatatu wiki hii akiwa na miaka 38.

https://p.dw.com/p/3Y87G