1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenia: Usafiri wa Matatu wagoma jijini Mombasa

1 Oktoba 2009

<p>Shughuli za kibiashara zilikwama leo katika mji wa bandari wa Mombasa nchini Kenya kufuatia mgomo wa wahudumu wa magari ya abiria aina ya Matatu.

https://p.dw.com/p/Jvnh
Mgomo huo ulioandaliwa na chama cha madereva na Makondakta wa magari hayo, ulianza alfajiri na kutatiza kabisa uchukuzi katika maeneo mengi ya jiji hilo.

Kutoka Mjini Mombasa Eric Ponda anaarifu Zaidi.

Mtayarishaji Eric Ponda

Mpitiaji Sekione Kitojo