1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Juhudi za kukabiliana na ukeketaji zimefikia wapi?

Sylvia Mwehozi6 Desemba 2018

Tunaelekea eneo la Narok nchini Kenya ambalo hukaliwa na jamii ya Wamasai, walio na tamaduni hiyo ya ukeketaji. Sylvia Mwehozi amezungumza na Christopher Muray anayefanya kazi na shirika la kuwatetea watoto wa kike katika eneo hilo. Kwanza amemuuliza ikiwa mwezi huu wa Desemba ndio msimu wa ukeketaji hali ikoje hapo Narok na juhudi za kukabiliana na ukeketaji zimefikia wapi?

https://p.dw.com/p/39Ype