1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya kukumbwa na mgogoro wa mabenki?

Elizabeth Shoo8 Aprili 2016

Mabenki matatu yameanguka nchini Kenya katika muda wa miezi tisa. Mawili ambayo ni Imperial na Chase yamechukuliwa na Benki Kuu ya Kenya, CBK. Mchambuzi aeleza nini kitatokea kwa amana za wateja.

https://p.dw.com/p/1ISAg
Chase Bank Kenya
Picha: picture-alliance/dpa/D. Irungu

[No title]

DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya kiuchumi na kisiasa James Shikwati kutoka Kenya.