1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Kundi la MRC waendelea kutafutwa na Polisi

24 Oktoba 2012

Jeshi la Polisi nchini Kenya limeendelea kuwakamata watu mbalimbali ambao wanahusishwa na vuguvugu la ukombozi katika eneo la Pwani.

https://p.dw.com/p/16VXj
Msako waendelea pwani ya Mombasa
Msako waendelea pwani ya MombasaPicha: picture-alliance/dpa

Mombasa Repulican Council leo hii (24.10.2012) ilipaswa kutekelezwa kwa kamishna wa haki za kibinaadamu wa taasisi ya Kiislamu ya mjini Mombasa Mihuri Khalid Hassan, ambapo siku chache zilizpopita alikamatwa mwenyekiti wa vuguvugu hilo MRC Omar Mwamduwadzi

Kutoka nchini Kenya Sudi Mnette alizungumza na mwanaharakati wa haki za binadamu Okiya Omatata Okoiti ambapo kwanza alimuuliza anazungumziaje vitendo hivyo vya polisi.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Oummilkheir Hamidou