1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Sheikh Mohamed Dor afikishwa mahakamani Mombasa

18 Oktoba 2012

Nchini Kenya, mbunge wa kuteuliwa ambaye pia ni katibu mkuu wa Baraza la maimamu nchini Kenya Sheikh Mohamed Dor amefikishwa mahakamani mjini Mobasa leo akishtakiwa kwa uchochezi.

https://p.dw.com/p/16Rrt
Ramani ya Kenya
Ramani ya Kenya

Dor ambaye alikamatwa hapo haja mjini Nairobi, alisafirishwa jana jioni chini ya ulinzi wa maafisa wa Polisi hadi mji huo wa Bandari kujibu mashtaka hayo. Mwandishi wetu mjini Mombasa Eric Ponda ana taarifa kamili.

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi Eric Ponda

Mhariri:Josephat Charo

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi