1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya: Wazee wa wamijikenda waandamana

2 Oktoba 2012

Nchini Kenya, wazee kutoka jamii ya Wamijikenda, leo (02.10.2012) wameandamana Mjini Mombasa kuishinikiza serikali kulishughulikia kwa haraka suala la kudumishwa amani na umiliki wa ardhi katika Mkoa wa Pwani.

https://p.dw.com/p/16IeP
Bandari ya Mombasa
Bandari ya MombasaPicha: picture-alliance/ dpa

Maandamano hayo yanafuatia misururu ya ghasia za mauaji katika eneo hilo, ambako watu kadhaa wameuawa kutokana na mizozo ya kupigania rasilimali za eneo hilo. Mwandishi wetu wa Mombasa, Eric Ponda, amehudhuria maandamano hayo na hii hapa ni ripoti yake:

(Kusikiliza ripoti bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: Eric Ponda

Mhariri: Mohammed Khelef

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi