1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yaombwa kutowarejeshwa kwao wakimbizi wa kisomali

31 Machi 2011

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeilaumu serikali ya Kenya kwa kuwarudisha wananchi wa Somalia nchini mwao licha ya taifa hilo kuendelea kukabiliwa na mzozo.

https://p.dw.com/p/10lSC

Shirika hilo limeitaka Kenya kukoma mara moja na hatua hiyo ya kuwatimua wasomalia walioko kwenye kambi za wakimbizi nchini Kenya Saumu Mwasimba amezungumza na mtafiti wa shirika hilo anayehusika na kitengo cha Afrika Ben Rawlence na kwanza ameanza kuthibitisha juu ya hatua hiyo ya Kenya.