1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kenya yasitisha mtaala mpya wa elimu

Sudi Mnette
13 Desemba 2018

Serikali ya Kenya imetoa maelekezo ya kusitishwa mtaala mpya wa elimu ya msingi. Hatua hiyo imewakasirisha wazazi, wanafunzi na wachapisha vitabu nchini humo

https://p.dw.com/p/3A0yx

Ni takribani miaka miwili tangu mtaala huo mpya wa elimu kuanza kutumika nchini Kenya.  Hasira zimezuka kwavile baadhi ya watu tayari wameshanunua vitabu vipya kwa ajili ya mtaala huo wa elimu. Sikiliza mahijiano ya Dw na Dk. Andrew Rasugu Riechi, mjumbe wa tume iliyounda mtaala huo.