1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kero la nepi zilizotumika

11 Julai 2019

Nepi za kisasa zinazotumika mara moja na kutupwa kwa ajili ya kuwahifadhi watoto na wagonjwa haja ni sehemu ya maendeleo ya teknolojia ambayo kila mmoja anafurahia mageuzi hayo katika sekta ya ulezi wa wana. Lakini kuna madhara yake kama anavyosimulia Hawa Bihoga katika ripoti hii

https://p.dw.com/p/3Lw8Y