1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kiefer atuzwa maonyesho ya Frankfurt

19 Oktoba 2008
https://p.dw.com/p/Fd0e

Frankfurt:

Zawadi ya amani katika maonyesho ya vitabu ya Ujerumani mjini Frankfurt mwaka huu, ametunukiwa msanii Anselm Kiefer. Bw Kiefer mwenye umri wa miaka 63 na anayeishi Ufaransa ni masanii wa kwanza kutunukiwa zawadi hiyo. Uchongaji wake wa zana za upinzani wa vita ni pamoja na ndege za kivita zilizotengenezwa kwa bati ambazo hivi sasa ziko kwenye maonyesho katika makumbusho ya Louisiana nchini Denmark. Maonyesho hayo ya vitabu ya Frankfurt yanayofanyika kila mwaka yanamalizika leo.