1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kim Jong Un akutana na Xi Jinping

28 Machi 2018

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na rais wa China Xi Jinping mjini Beijing ambapo kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amemueleza rais wa China kuwa utawala wake umedhamiria kuondoa silaha za nyukilia wakati ambapo nchi hiyo ikitarajiwa kuwa na mazungumzo kati yake na Marekani.

https://p.dw.com/p/2v7k2