1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga: CHADEMA yasema haina mgogoro

12 Novemba 2013

Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye vyombo habari kwamba kuna mgogoro unaofukuta kwenye uongozi wa juu wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, CHADEMA, Kinagaubaga inauliza kuna nini huko ndani?

https://p.dw.com/p/1AG4y
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Kutoka kushoto ni Freeman Mbowe (Chadema), Ibrahim Lipumba (CUF) na Augustine Mrema (TLP).
Viongozi wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Kutoka kushoto ni Freeman Mbowe (Chadema), Ibrahim Lipumba (CUF) na Augustine Mrema (TLP).Picha: DW

Msemaji wa CHADEMA, Tumaini Makene, anaelezea kwenye mahojiano haya na Mohammed Khelef kwamba mambo ndani ya chama chake ni shwari, licha ya kwamba wanakabiliwa na hujuma "kutoka nje". Kusikiliza mahojiano haya ya Kinagaubaga, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo